john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo.
Ninaomba kwa yoyote anayefahamu websites ambazo ninaweza kudownload ebooks masomo ya fizikia na hisabati ya a level aweke hiyo site au link hapa ili anisaidie kuvipata vitabu vya masomo hayo,kwa kuviorodhesha vitabu ninavyo hitaji ni s.chands,nelkon,tom duncan,abc,worked out physics,compressive na roger kwa upande wa physics na pure 1&2 kwa mathematics,pia hata kama unafahamu vingine ambavyo sijavitaja unaweza weka links zake kwa faida ya wengine wengi.natanguliza shukrani...