Hedaru2022
Member
- Mar 26, 2022
- 10
- 15
Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia.
Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ?
Au ndio janja janja nafasi zote zimeshajazwa watoto wa maskini tumezugwa na Portal
Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ?
Au ndio janja janja nafasi zote zimeshajazwa watoto wa maskini tumezugwa na Portal