Msaada: Akiomba kozi zenye priorities atapata mkopo?

Mdenya blood

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
51
Reaction score
5
Msaada jamani kuna jamaa alikua yupo chuo but mwaka jana ilibidi asitshe masomo baada ya kukosa ada. Mwaka huu kajipanga kurudi chuo ila ana wasiwasi, Je! Akiomba mkopo atapata akichukua course zenye priority kama Education nk. Wakuu tusaidiane kwani nilijaribu kuwasiliana na HESLB ila hawapatikani pia niliwatumia email but bado sijajibiwa.
 
Tatizo ni kwamba serikali haijatoa mwongozo kwa mwaka huu,miaka ya nyuma walikuwa wanatoa,sasa kwa mwaka huu sijui lkn,labda ngoja waje wenye tetesi watupe habari.
 
Wametoa mwongozo mkuu mwambie aingie website ya bodi ya mikopo kuona priorities..
 
Tatizo ni kwamba serikali haijatoa mwongozo kwa mwaka huu,miaka ya nyuma walikuwa wanatoa,sasa kwa mwaka huu sijui lkn,labda ngoja waje wenye tetesi watupe habari.

MWONGOZO UMESHATOKA NDUGU MFANO COURSE KAMA

Computer science
I.T
Ualimu wa sanaa
Ziko nyingi zimetajwa
na kiwango cha Meals and Acomodation ni Tshs. 8,500/Day
 
computer science na IT sio priority umekosea mkuu..soma vizuri
 
Msaada jamani kuna jamaa alikua yupo chuo but mwaka jana ilibidi asitshe masomo baada ya kukosa ada. Mwaka huu kajipanga kurudi chuo ila ana wasiwasi, Je! Akiomba mkopo atapata akichukua course zenye priority kama Education nk. Wakuu tusaidiane kwani nilijaribu kuwasiliana na HESLB ila hawapatikani pia niliwatumia email but bado sijajibiwa.
amesoma combination gani?
 
Back
Top Bottom