Mdenya blood
Member
- Apr 27, 2015
- 51
- 5
Msaada jamani kuna jamaa alikua yupo chuo but mwaka jana ilibidi asitshe masomo baada ya kukosa ada. Mwaka huu kajipanga kurudi chuo ila ana wasiwasi, Je! Akiomba mkopo atapata akichukua course zenye priority kama Education nk. Wakuu tusaidiane kwani nilijaribu kuwasiliana na HESLB ila hawapatikani pia niliwatumia email but bado sijajibiwa.