Mdenya blood
Member
- Apr 27, 2015
- 51
- 5
Tatizo ni kwamba serikali haijatoa mwongozo kwa mwaka huu,miaka ya nyuma walikuwa wanatoa,sasa kwa mwaka huu sijui lkn,labda ngoja waje wenye tetesi watupe habari.
amesoma combination gani?Msaada jamani kuna jamaa alikua yupo chuo but mwaka jana ilibidi asitshe masomo baada ya kukosa ada. Mwaka huu kajipanga kurudi chuo ila ana wasiwasi, Je! Akiomba mkopo atapata akichukua course zenye priority kama Education nk. Wakuu tusaidiane kwani nilijaribu kuwasiliana na HESLB ila hawapatikani pia niliwatumia email but bado sijajibiwa.
Kasoma arts but anataka akachukue bachelor ya education