Msaada; AKO Group Ltd wanaohusika na kupika wanapatikana wapi?

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Nimejaribu google lakini sijaelewa walipo. Me natokea Mbezi Kimara. Kwa anayejua msaada wa kuelekeza.
 
DAH WE UTANIFAA WAWEZA NIELEKEZA AISE
Fika hadi maghorofa waliyokuwa wanakaa wafanyakazi wa kiwanda cha urafiki halafu muulize mtu yeyote uwanja wa kinesi ulipo ukishafika maeneo ya uwanjani ulizia tena urafiki socal hall ukionyeshwa basi jua ushafika au ulizia wanapokaa wafanyakazi raia wa china wanaofanya kazi kiwanda cha urafiki ndio hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…