Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kampuni ya Silvesster koka alikuwa mbunge wa kibaha.NIMEJARIBU GOOGLE LKN SIJAELEWA WALIPO.ME NATOKEA MBEZI KIMARA.KWA ANAEJUA MSAADA WA KUELEKEZA
Sio ya Ponzino Mponzi?
Kweli kabisa nshafanyanao kazi kipindi fulaniNenda URAFIKI social ndio wapo hapo
Duh basi mimi huwa namuona sana na hiyo kampuni nikadhani ya kwake. Kumbe naye muajiriwa😄
Duh basi mimi huwa namuona sana na hiyo kampuni nikadhani ya kwake. Kumbe naye muajiriwa[emoji1]
DAH WE UTANIFAA WAWEZA NIELEKEZA AISE
Fika hadi maghorofa waliyokuwa wanakaa wafanyakazi wa kiwanda cha urafiki halafu muulize mtu yeyote uwanja wa kinesi ulipo ukishafika maeneo ya uwanjani ulizia tena urafiki socal hall ukionyeshwa basi jua ushafika au ulizia wanapokaa wafanyakazi raia wa china wanaofanya kazi kiwanda cha urafiki ndio hapohapoDAH WE UTANIFAA WAWEZA NIELEKEZA AISE
Kampuni ni ya mbunge kokaDuh basi mimi huwa namuona sana na hiyo kampuni nikadhani ya kwake. Kumbe naye muajiriwa😄