Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,475 Reaction score 5,290 Nov 21, 2021 #1 Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Nov 21, 2021 #2 Hayo maeneo kuna viziwi.
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,530 Reaction score 9,550 Nov 21, 2021 #3 watu wenye usikivu au kutokusikia kabisa wanapita hapo hivyo dereva awe makini kwani matumizi ya honi hayawezi kusaidia kuzuia ajali
watu wenye usikivu au kutokusikia kabisa wanapita hapo hivyo dereva awe makini kwani matumizi ya honi hayawezi kusaidia kuzuia ajali
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,475 Reaction score 5,290 Nov 21, 2021 Thread starter #4 Asanteni sana kwa Kunielewesha.
M mathabane JF-Expert Member Joined Jan 27, 2013 Posts 2,405 Reaction score 1,894 Nov 21, 2021 #5 jerrybanks said: watu wenye usikivu au kutokusikia kabisa wanapita hapo hivyo dereva awe makini kwani matumizi ya honi hayawezi kusaidia kuzuia ajali Click to expand... We ni dereva ila hujasomea udereva
jerrybanks said: watu wenye usikivu au kutokusikia kabisa wanapita hapo hivyo dereva awe makini kwani matumizi ya honi hayawezi kusaidia kuzuia ajali Click to expand... We ni dereva ila hujasomea udereva
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,530 Reaction score 9,550 Nov 22, 2021 #6 mathabane said: We ni dereva ila hujasomea udereva Click to expand... hilo gari lenyewe hata kulijua silijui mkuu
mathabane said: We ni dereva ila hujasomea udereva Click to expand... hilo gari lenyewe hata kulijua silijui mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 22, 2021 #7 Mleta mada fuata miongozo hiyo...