Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole. Baki kwenye sheria, hujui kinachoendelea upande wa hiyo sekta. Watu wameachia (wamepoteza) mali zao walizowekeza, kama nyumba,viwanja,magari n.kWe nae hujui sheria, chunga sana usije ukaumia, ni kosa kisheria kukopesha kwa riba bila leseni kutoka bot, sasa hao wote wanaokopeshana kwa kuandikishana ni kazi bure siku mambo yakiharibika usije ukaenda kokote kushtaki kwasababu hio kesi inakugeukia na hautolipwa, hapo jamaa kashashinda kesi kabla haijaanza 🙂
naunga mkono,wengi wa matapeli wanashauriana kwenye vijiwe kuwa UKIKOPA HAULIPI NA HAKUNA SHERIA ITAKAYOKUTAKA ULIPE,wanahamasishama wakope na wasilipe..Pole. Baki kwenye sheria, hujui kinachoendelea upande wa hiyo sekta. Watu wameachia (wamepoteza) mali zao walizowekeza, kama nyumba,viwanja,magari n.k
naunga mkono,wengi wa matapeli wanashauriana kwenye vijiwe kuwa UKIKOPA HAULIPI NA HAKUNA SHERIA ITAKAYOKUTAKA ULIPE,wanahamasishama wakope na wasilipe..
Kwa sheria wanazofundishana kwenye vijiwe vya soga stori .Wengine wanafundisha hata ukipelekwa mahakamani utakuwa unalipa kidogo kidogo hata buku buku kila mwezi.
Acha waendeleee kudanganyana ,mmoja nilimpeleka mahakamani tena mtumishi muajiriwa akaishia kuzuiliwa mshahara wake ukalipa deni langu,ningeweza nikakamata mali zake hata nyumba,kiwanja..ila nikachagua kuzuia akaunti yale ya mshahara.Na yeye ndio alikuwa kiherehere anawakataza wenzake waliokopa wasilipe.
View attachment 3190960
Jamani jufunzeni sheria za nchi japo kidogo, kule mahakamani hawajali kama ulijua au hukujua,..ni kosa kisheria kukopesha mtu kwa riba bila leseni, kama utamkopesha mtu kwa riba na hauna leseni mliandikishana tu, siku huyo mdaiwa akija kulegalega kwenye ulipaji, kama kesi ikaescalate ikaenda mahakamani, mdaiwa kashashinda kesi, vidocument vyote mlivyosainishana ni batili, yani kiufupi ni kama unafanya biashara ya bangi halafu ukazulumiwa af unakimbilia mahakamani, unaenda kujichoma mwenyewe!!
Lipa riba ya watu siku ya Kula hukutushirikisha ulisema utalipa mda wa kulipa umefika unatulilia 😎Kuna mtu aliniazima pesa kiasi cha laki tano nikaelewana nae nitamlipa laki sita lakini mambo hayakuwa sawa nikamuomba kumlipa kidogo kidogo na tuliandikiana kwa karatasi tu kishikai sisi wenyewe wawili.
Lakini leo ameenda nishitaki mahakama ya mwanzo na wameniletea samansi lkn ameandika kuwa ananidai milioni moja.
Hii imekaaje?
Alikukopa au alikuazima ? Maana kukopesha ni kwa ajili ya taasisi za kifedha zenye leseni na zinazotambulika na jamiiKuna mtu aliniazima pesa kiasi cha laki tano nikaelewana nae nitamlipa laki sita lakini mambo hayakuwa sawa nikamuomba kumlipa kidogo kidogo na tuliandikiana kwa karatasi tu kishikai sisi wenyewe wawili.
Lakini leo ameenda nishitaki mahakama ya mwanzo na wameniletea samansi lkn ameandika kuwa ananidai milioni moja.
Hii imekaaje?