Nmenunua 2005 kutokan na hali sijaiendeleza mpak saiv, haonexhi dalili ya kurudisha ela aliwah kusema tugawane achukue upande wake af atanifidia sehem nyingne au aichukue mazima anipe nyingneMwenye kiwanja anaonesha dalili ya kurudisha ela? na mda gani umepita toka muuziane?
Sent using Jamii Forums mobile app
MkononiMwambie ahamishe hilo kaburi kwenye hilo eneo jipya. Kwani kaburi kitu gani bana? Septic tank ni kaburi kuwa tunaloishi nalo. Ng'ombe wote tunaokula, wanaishia huko!
By the way, pesa ulimpa mkononi au kwenye akaunti?
Kifupi huyo jamaa amekuona fala hupaswi kumchekea, nina uzoefu kidogo na hii migogoro ya ardhi, fuata ushauri wa mdau hapo juu, jenga hata chumba kimoja tena kajenge kwenye hilo eneo analodai kuna kaburi na ukikitana nae usijitie mnyonge wala usimpe kabisa muda wa kujadiliana kuhusu hicho kiwanja akitaka labda umuuzie tena kwa bei unayoitaka wewe, pia jaribu kujenga mahusiano mazuri na majirani wengine simaanishi ujipendekeze, ukiona wanazingua wakazie jenga kisha pangisha au muweke mtu akae hata bure!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hapa duniani wana akili balaa..Kifupi huyo jamaa amekuona fala hupaswi kumchekea, nina uzoefu kidogo na hii migogoro ya ardhi, fuata ushauri wa mdau hapo juu, jenga hata chumba kimoja tena kajenge kwenye hilo eneo analodai kuna kaburi na ukikitana nae usijitie mnyonge wala usimpe kabisa muda wa kujadiliana kuhusu hicho kiwanja akitaka labda umuuzie tena kwa bei unayoitaka wewe, pia jaribu kujenga mahusiano mazuri na majirani wengine simaanishi ujipendekeze, ukiona wanazingua wakazie jenga kisha pangisha au muweke mtu akae hata bure!
Sent using Jamii Forums mobile app