Msaada; ana Mimba ya miezi saba

Msaada; ana Mimba ya miezi saba

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
Habarini wakuu,kuna binti ana mimba ya miezi saba,na yupo chini ya kumi na nane je kuna uwezekano wa kuweza kufanya mimba iharibike?N.b sio kutoa mimba njia nyingine lengo n mwakani aende shule!!kuna rafik yangu ameshikwa pabaya!
 
Unamaanisha nn?mnataka iharibike au mnataka muikatize uhai wake?
 
ni ghalabu sana mimba ya
miezi saba kuharibika yenyewe inabidi hiko kiumbe kiuliwe ikisha amzae
huyo mtoto kwa njia ya kawaida Astakafirullah!

asante mwenye kutujuza zaidi naomba ufahamu wake!
 
Habarini wakuu,kuna binti ana mimba ya miezi saba,na yupo chini ya kumi na nane je kuna uwezekano wa kuweza kufanya mimba iharibike?N.b sio kutoa mimba njia nyingine lengo n mwakani aende shule!!kuna rafik yangu ameshikwa pabaya!

------- wewe,unataka kuua,sasa unapo alibu mimba unadhani iko kiumbe kitapona.?mjinga sana wewe,ajiandae kufa uyo..
 
Habarini wakuu,kuna binti ana mimba ya miezi saba,na yupo chini ya kumi na nane je kuna uwezekano wa kuweza kufanya mimba iharibike?N.b sio kutoa mimba njia nyingine lengo n mwakani aende shule!!kuna rafik yangu ameshikwa pabaya!

kama hutaki kuitoa hiyo mimba (napata wasi wasi juu ya dhamira yako )
kwanini usimruhusu aende nayo hiyo mimba shule ??
au ndo mtoto wa "jk" nini?
 
Muache ajifungue.........ataweza tu kwenda shule mwakani......
 
Baada ya kujifunguwa atakuwa na wakati tosha wa kujoin shule .. Time ipo na shule zipo na nafasi zipo !! take care mimba sii yakuchezea.
 
Habarini wakuu,kuna binti ana mimba ya miezi saba,na yupo chini ya kumi na nane je kuna uwezekano wa kuweza kufanya mimba iharibike?N.b sio kutoa mimba njia nyingine lengo n mwakani aende shule!!kuna rafik yangu ameshikwa pabaya!

Hayatuhusu kabisa.
 
Pregnancy_Your_Babys_Growth_and_Development_Months_7_to_9_28_Weeks.jpg

Mimba ya miezi saba(wiki 28) huyo ni mtoto kamili kabisa na tayari huwa anafanya baadhi ya movements tumboni mwa mamaye, anakuwa na uwezo wa kusikia, hata maumivu huweza kuyapata.

Hivyo hapo sio kuwa utaharibu mimba, bali utamuua mtoto aliyepo kwenye mji wa uzazi kwani hii ni trimester ya tatu ambapo mtoto huwa na takribani urefu wa 36cm(14inches) na hata akizaliwa prematurely nafasi ya kuendelea kuishi ni kubwa.
 
Aksanteni wanamember wenzangu kwa ushauri mzuri taarifa zitafika kwa mhusika!
 
sitaki kucoment hapa maana dhamira yenu sio nzuri
 
Back
Top Bottom