Habari wadau. Naomba mnijuze hivi mwanamke au binti anaweza kuwa na mimba ya wiki Tatu na akaona siku zake kama kawaida japo damu haitoki nyingi,,? Au changa La macho
,?
inatokea inaitwa implantation bleeding lakini si zaidi ya wiki ya tatu maake wiki ya tatu kwa kawaida kijusi ndio hujishikiza kwenye mji wa uzazi ikizidi zaidi ya huo mida basi ni dalili za hatari za mimba fika hospital
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.