Wakuu habari ya Jumapili,miaka 7 iliyopita nilinunua miti aina ya Pine heka 4 Wilaya ya Mufindi. Kwasasa miti ina miaka 13. Wazoefu wameniambia tayari imekomaa na naweza kuivuna. Mi niko mbali na sjui bei ya sasa ni Sh.ngapi kwa heka. Naomba mtu ambae ni mzoefu wa biashara ya mbao anisaidie ili wajanja wasinipige.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya miti inatofautiana kutokana na umbali wa shamba lako liliko,ungetuambia kijijin gan ungeambiwa mkuu,bei ya mapanda tofaut na luganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtu wa miaka 13 kawaida Bei Ni sh 10000 mpaka 15000.. Lakini inaweza kupungua kutokana na umbali shamba lilipo na barabara.. Mzee hongera Sana umekuza na umepambana na changamoto za ajali za Moto mzeeMkuu biashara ya mbao na misitu inahitaji uzoefu, kama ulinunua mwenyew ungeweza kuchana hata wewe mwenyewe, bei hua inategemeana na umri wa miti pamoja na mteja akifika akiiona size ya miti, manake inaweza kuwa michache halafu minene, au miti mingi lakin myembamba, na kuangalia mti mmja unatoa pingili ngap hapo mnaweza kuafikiana bei, na wakati wa kuuziana ni vizuri ukawepo.
Yani mti miaka mi13 bei 10000 had 15000 alafu ubao mmoja mnakuja kutuuzia 15000. Haa kweli bongo bora ukawa dalali kuliko mkulima.Kwa mtu wa miaka 13 kawaida Bei Ni sh 10000 mpaka 15000.. Lakini inaweza kupungua kutokana na umbali shamba lilipo na barabara.. Mzee hongera Sana umekuza na umepambana na changamoto za ajali za Moto mzee
Ntakuwa sijaelewa mti mmoja elfu 10000 mpk 15000 wa miaka 13 ndo bei yake????Kwa mtu wa miaka 13 kawaida Bei Ni sh 10000 mpaka 15000.. Lakini inaweza kupungua kutokana na umbali shamba lilipo na barabara.. Mzee hongera Sana umekuza na umepambana na changamoto za ajali za Moto mzee
Nahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaaYani mti miaka mi13 bei 10000 had 15000 alafu ubao mmoja mnakuja kutuuzia 15000. Haa kweli bongo bora ukawa dalali kuliko mkulima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya miti ya mbao hasa hiyo miti "pines" Haina Bei ndefu kwa mkulima.. Watu wa Mufindi Na Njombe wanaliewa vizuri..Nahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya miti ya mbao hasa hiyo miti "pines" Haina Bei ndefu kwa mkulima.. Watu wa Mufindi Na Njombe wanaliewa vizuri..
kwa upande wangu ningekushauri ukakodi mashine upasue mbao mwenyewe then uje uuze dsm, kuuza miti utaambulia hasara tuu.
Ukitaka kulia we jifanye unapasua ili uuze mbaoKama vp njoo mi nikukatie na nikupasulie ili uuze mbao na kama uko vizuri na soko nitakulengesha mwenyewe. Soko la uhakika sana. Mwisho wa mchongo mi unanilipa kwa mashine zilizofanya kazi.
Kwa uzofu wangu mfindi aridhi yake ni nzuri sana kwa mitiWakuu habari ya Jumapili,miaka 7 iliyopita nilinunua miti aina ya Pine heka 4 Wilaya ya Mufindi. Kwasasa miti ina miaka 13. Wazoefu wameniambia tayari imekomaa na naweza kuivuna. Mi niko mbali na sjui bei ya sasa ni Sh.ngapi kwa heka.
Naomba mtu ambae ni mzoefu wa biashara ya mbao anisaidie ili wajanja wasinipige.
Sent using Jamii Forums mobile app
10000 kwa utunzaji wa miaka 13 mbona ni kama unyonyajiUlinunua miti iliyopandwa umbali wa mita ngapi mti mpaka mti? Kwa miti ya miaka 13 inaweza simama kwa bei ya 10,000. mpaka 15,000. kama ilipandwa kitaalamu na udongo mzuri.
Asante mkuu nathamini mawazo yenuKwa uzofu wangu mfindi aridhi yake ni nzuri sana kwa miti
Miti yenye miaka 13 itakuwa mizuri sana
Chakufanya hapo umeshapata mwanga wa bei .. Miti mnunuzi ndiye anayekuongoza kwenye bei
Mimi ambaye sijaiona ni ngumu kukupa bei
Wakwanza kasema 20m apelekwe mwingine anza na 35m yeye atasema bei anayoweza kulipa mwisho utapata bei ya kuuza
Nb usijaribu kuchana ili uuze mbao
Sent using Jamii Forums mobile app