Joasi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 766
- 674
Kama upo na sample ya picha ya hivi karibuni tuweze kujadili kwa upana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee tatizo mnakalili sana mkisikia mtu akiwaambia ukiwa na miti heka moja wewe tajiri(haya mambo nayaona sna humu JF kuwa baadaya miaka 10 eiti unashika milioni kadhaa e.g. 20Milioni ahahahah) mtakuja kufa aisee mkikutana na ukweli kwenye ground, kiukweli miti ni changamoto sana na bei ya elfu 10 na elfu 15 ni ya kiwango cha juu sana ila kawaida miti tunanunua hadi elfu 3 na elfu 7 kutokana na shamba lipo umbali gani na barabara, lipo eneo linalofikika au mabondeni na umbali toka shambani na eneo la soko lambao hivyo vyote vinaamua bei ya miti yakoNahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ukiwa na laki tatu tu,unaweza nunua shamba la hela moja...!!Ulinunua miti iliyopandwa umbali wa mita ngapi mti mpaka mti? Kwa miti ya miaka 13 inaweza simama kwa bei ya 10,000. mpaka 15,000. kama ilipandwa kitaalamu na udongo mzuri.
Hilo hasijaribu kabisa itamkata mazima, yaani kama alipanga atapata 10M utashangaa mpaka anamaliza kuuza mbao zake ana 4M baadaya ya kutoa gharama zote, kuna kitu kipo kwenye mbao mtu anayepasua mbao unaona misitu yake anauzia wafanyabihashara wengine wakupasua sio yeye anapasua ingawa na yeye anaenda kununua misitu ya kupasua sehemu inginekwa upande wangu ningekushauri ukakodi mashine upasue mbao mwenyewe then uje uuze dsm, kuuza miti utaambulia hasara tuu.
Yes boss, ndio mana amekuja hapa kutafuta mawazo so mwisho wa siku yeye ndio atakaa chini aone achukue lipiHilo hasijaribu kabisa itamkata mazima, yaani kama alipanga atapata 10M utashangaa mpaka anamaliza kuuza mbao zake ana 4M baadaya ya kutoa gharama zote, kuna kitu kipo kwenye mbao mtu anayepasua mbao unaona misitu yake anauzia wafanyabihashara wengine wakupasua sio yeye anapasua ingawa na yeye anaenda kununua misitu ya kupasua sehemu ingine
Hivyo namshauri huyu jamaa aje auze shamba lake ila asijaribu kupasua kuna changamoto nyingi sana HUU NI USHAURI TU ILA ANAWEZA FANYA VYOVYOTE ATAKAVYO KWAKUWA NI HIYO NI MALI YAKO ILA NIMEMPA ANGALIZO TU
uza haraka mkuu kwan kwama kila ekari ni m5 inamaanisha 5,000,000÷600= 8300 kila mti kwa sasa ni bei nzuri mno tena sana so 5,000,000×4= 20,000,000 wewe ulinunua zote ekar4 kwa m3.5 ukitoa gharama za utunzaji na muda bado kuna hela nyingi utabaki nazo afu hapo watu watakwambia uwekezaji wa miti ni kichaa fikiria ungekua na ekari hata 30 ungekuwa mbali sanaKuna mtu kaniambia yuko tayari kunipa mil.5 kwa heka. Nimemwambia ngoja kwanza. Ila mimi heka 4 zote nilinunua mil.3.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu wapotezeeni wanaosema uwekezaji kwenye miti ni biashara kichaa. They dont know what is long term investment..uza haraka mkuu kwan kwama kila ekari ni m5 inamaanisha 5,000,000÷600= 8300 kila mti kwa sasa ni bei nzuri mno tena sana so 5,000,000×4= 20,000,000 wewe ulinunua zote ekar4 kwa m3.5 ukitoa gharama za utunzaji na muda bado kuna hela nyingi utabaki nazo afu hapo watu watakwambia uwekezaji wa miti ni kichaa fikiria ungekua na ekari hata 30 ungekuwa mbali sana
Sana kaka mkubwa kila mwaka panda ekari mbili au zinunue sehemu tofauti tofauti utakuja kunishukuru.Hebu wapotezeeni wanaosema uwekezaji kwenye miti ni biashara kichaa. They dont know what is long term investment..
Nahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
uza haraka mkuu kwan kwama kila ekari ni m5 inamaanisha 5,000,000÷600= 8300 kila mti kwa sasa ni bei nzuri mno tena sana so 5,000,000×4= 20,000,000 wewe ulinunua zote ekar4 kwa m3.5 ukitoa gharama za utunzaji na muda bado kuna hela nyingi utabaki nazo afu hapo watu watakwambia uwekezaji wa miti ni kichaa fikiria ungekua na ekari hata 30 ungekuwa mbali sana
Ni sahihi kabisa,biashara ya miti inafanyikia shambani,baada ya mtu kuona,kuridhia,hapo lazima aangalie shamba lipoje bondeni au juu,umbali kutoka shamba mpaka barabarani.Mkuu biashara ya mbao na misitu inahitaji uzoefu, kama ulinunua mwenyew ungeweza kuchana hata wewe mwenyewe, bei hua inategemeana na umri wa miti pamoja na mteja akifika akiiona size ya miti.
Manake inaweza kuwa michache halafu minene, au miti mingi lakin myembamba, na kuangalia mti mmja unatoa pingili ngap hapo mnaweza kuafikiana bei, na wakati wa kuuziana ni vizuri ukawepo.
Ni sahihi kabisa,biashara ya miti inafanyikia shambani,baada ya mtu kuona,kuridhia,hapo lazima aangalie shamba lipoje bondeni au juu,umbali kutoka shamba mpaka barabarani,magogo yanaweza kutolewa au mbao kuchaniwa humo humo,miti yako mbao zinazoweza kupatikana kwa wingi ni size gani kwa kipimo 2*2,2*3,2*4.2*6,2*8, 1*3,1*8 vipimo vingine huchanwa kutokana na oda.Mwenye mali nenda tafuta mteja mwende naye shambani au uchane mwenyewe.
Nenda mkuu,huko mvua kunyesha ni kawaida yake,nenda ukaone na uhalisia wa mali yako ipo kama vile ulivyonunua,pita hapo mafinga mjini madalali wapo wengi we jifanye unaulizia biashara ya kununua msitu na kuuza mbao,bei zimekaaje.Ok poa ntazingatia ushauri wako. Lakini sjafika shambani miaka km 4 hivi shida kule mvua zinanyesha sn. Kila nikitaka kwenda nikimuuliza mwenyeji wangu anasema hali ya barabara si nzuri. Juzi juzi hapa alipoenda shamba kuangalia ndo akaniambia miti iko tayari km nataka naweza kuivuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Panafikika tu,mabasi yapo,piki piki zipo,labda changamoto iwe njia ya kutoa mali shambani,na siku hizi kuna viwanda vya wachina wanamenya magogo kutengeneza marineboard/plywood nenda uliza wananunua shilingi kwa mita za ujazo(cubic meter)Kuna kijiji kinaitwa Kilosa kwa mbele kidogo ila kunafikika sema sina uhakika kwa mvua za msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unachukulia bei iliyoko Dar hafu una cross multplications, wenzio walima mapalachichi wanaijua zahama ya beiNahisi atakuwa amekosea labda alimaanisha 100,000 hadi 130,000 kwenye kuandika ila kama ni kweli basi hiyo ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Bei mbaya chukua tu mzee the hapo iondoke weka mikaratusi inakua fasta tuKuna mtu kaniambia yuko tayari kunipa mil.5 kwa heka. Nimemwambia ngoja kwanza. Ila mimi heka 4 zote nilinunua mil.3.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda mkuu,huko mvua kunyesha ni kawaida yake,nenda ukaone na uhalisia wa mali yako ipo kama vile ulivyonunua,pita hapo mafinga mjini madalali wapo wengi we jifanye unaulizia biashara ya kununua msitu na kuuza mbao,bei zimekaaje,ukitoka hapo unatoka na picha kamili,na ukikuta kipindi misitu ya serikali imefungwa basi malimisitu binafsi bei huwa juu,ile ni mali yako nenda kaithaminishe wewe,muangalizi hachelewi kuingiwa na tamaa au kupata shida akaanza kupunguza mmoja mmoja.nenda shambani,fika mafinga pale ongea na wadau kama unaulizia ulizia tu mambo na hali ya soko utavijua,biashara ya misitu haifanywi kwa remote control nenda pale mkuu,siku tatu tu utakuwa ushaamua .
Sio Bei mbaya chukua tu mzee the hapo iondoke weka mikaratusi inakua fasta tu
Sent using Jamii Forums mobile app