Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 767 Reaction score 901 Sep 10, 2019 #1 Wakuu habari za muda huu naomba kwa anaejua kuhusu mnada uliopo maeneo ya pwani kati ya kisarawe na maeneo mengine karibu na Dar naomba kujua kuhusu ratiba za minada hio kwa anayefahamu Nk.mnada uwe wa vitu mbali mbali kama mazao nk.
Wakuu habari za muda huu naomba kwa anaejua kuhusu mnada uliopo maeneo ya pwani kati ya kisarawe na maeneo mengine karibu na Dar naomba kujua kuhusu ratiba za minada hio kwa anayefahamu Nk.mnada uwe wa vitu mbali mbali kama mazao nk.