Msaada anaejua mnada au gulio maeneo ya pwani

Msaada anaejua mnada au gulio maeneo ya pwani

Podcast

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
767
Reaction score
901
Wakuu habari za muda huu naomba kwa anaejua kuhusu mnada uliopo maeneo ya pwani kati ya kisarawe na maeneo mengine karibu na Dar naomba kujua kuhusu ratiba za minada hio kwa anayefahamu

Nk.mnada uwe wa vitu mbali mbali kama mazao nk.
 
Back
Top Bottom