Msaada: Anakawia sana kupata hedhi na ameanza kula mkaa

Msaada: Anakawia sana kupata hedhi na ameanza kula mkaa

Habari wanajamvi,jaman naombeni msaada wenu nina mdogo wangu ana miaka 24 miaka ya nyuma alikuwa akipata siku zake kama kawaida ilipofika mwaka jana mwezi wa 7 siku zikaanza kwenda hovyo akawa anapata kila baada ya siku 45 wakati mwanzoni alikuwa anapata baada ya siku 28 hadi 32 ilipofika mwez wa 9 ikakata kabisa hadi mwez wa 12 ndio akapata sasa tangu apate mwez wa 12 ikaja kutoka tena mwez wa 2 mwaka huu tena kidoa tu mpaka leo hajapata tena ila anadai hana panapo muuma wala hatumii njia za uzazi na amepima hana mimba lakin tatzo jingine alianza kula mkaa mwaka jana january sasa hatuelewi tatzo ni nini na anaendelea mpaka leo japo amepunguza maana amashindwa kuacha. tunaomba mtusaidie.asanteni
Pm yako ina shida mawasiliano hayafiki
 
Back
Top Bottom