Msaada anal fistula

Msaada anal fistula

genesisbryne

Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
12
Reaction score
2
Hello!

Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote aliyewahi kuugua kisha kupata matibabu na kupona naomba anipatie msaada

ahsante
 
Pole sana dada yangu
Naomba upige hii namba uwaambie historia yako watakuunganisha na daktari bingwa (pengine bila malipo yoyote) 0765770770
Japo hujataja upo wapi, ila ungekuwa huku moshi ningekuulizia KCMC nikuunganishe na daktari ila ukienda hivyo itakuwa private hivyo utalipia
 
Genesisbryne,

Je ulifanikiwa kumpata daktari wa matibabu ya fistula? Kama bado tafadhali piga simu 0800 752227(bure kwa wateja wa vodacom) matibabu ya fistula yanapatikana bure na ubora wa hali ya juu. Kama upo Dar es Salaam nenda Hospitali ya CCBRT iliyoko Msasani, kwa sasa hii hospitali ndiyo inawatibu wangonjwa wengi wa fistula TZ, ukiwa Mwanza utapata matibabu bure Bugando, Ukiwa Moshi nenda KCMC, Ukiwa Arusha Matibabu bure ya Fistula yanapatikana Selian Lutheran Hospital ile ya nje ya mji siyo Arusha Lutheran Mecical Center, Ukiwa Ruvuma nenda Peramiho Mission Hospital utatibiwa bure.

Nafahamu pia kuwa CCBRT wanaweza kukusafirisha bure, kama ukiwa hauna nauli kutoka mahali popote Tanzania hadi CCBRT DSM au hadi Seliani Lutheran Hospital Arusha na ukatibiwa bure.

Ukiwakosa kwa namba ya bure tafadhali nijulishe na kama ukifahamu mtu yeyote mwenye fistula tafadhali mpashe hizi habari.
Hello!

Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote aliyewahi kuugua kisha kupata matibabu na kupona naomba anipatie msaada

ahsante
 
Mkuu hujachelewa mpaka sasa nenda CCBRT
huduma ni bure pale pia uko Mkoa gani.
Wahi Mkuu.
 
Back
Top Bottom