Dakxir
Member
- Jan 20, 2018
- 44
- 97
Habari zenu ndugu wana JF,
Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.
Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.
Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!