Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Hii fursa ngoja tuiangalie yuko wap huyo.
 
Nichek inbox
Maana anaumiaa sanaaa
 
ana PHD ? definetelly umri umeeenda, ukizingatia ni mwanamke, wenzie wanafikia hizo levo tayari wana familia zao na kama ni mtoto anaye mmoja au wawili ndio anaamua kuongeza elimu....


sifa za wanawake (wasomi)zipo hivi.... (i can say many, sio wote)
a. dharau... huyu hata mfagizi wa ofisini kwake hawezi kumsalimia, au akisalimiwa na mfagizi au mlizi anajibu kwa ishara... kwa staili hii nani akupende \?

b.hawapendi kushindwa, wanahisi wanajua kila kitu.... type hizi hata kama amekosea jambo ukimwelewesha hatabadili msimamo wa anachokiamini, hawajui kuna elimu ya mtaani na ya darasani. ukiwa na mtu wa hivi hata umumshauri jambo litakalompa manufaa yeye lazima atakupinga

c.wanapenda kuwa top(officn, nyumbani, kwenye mikutano warsha au shughuli yoyote). wanadhani kwa elimu zao wataeleweka na kila mtu...kumpata mume hapa ni majaliwa

d. akiwa boss wako, utanyanyasika sana, full dharau mitusi nk

e. hawapendi kujichangaya, hapa ndipo wanapobugi, wanajifanya sana highclass, sehemu wanazoenda highclass, wanajiweka buzzy mda wote, ukimsemesha ana earphone masikioni utajibiwa kwa ishara, unategemea nani apropose ? badilika ewe mwanamke,,,, hata shughuli za kijamii mfano sherehe misiba, huwezi kumkuta anajishughulisha na wanawake wenzie kusaidia kazi mfano kupamba, usafi, mapishi n,k

d. ambao wamefanikiwa kidogo walau amenunua na kipasso ndio shida, anaweza kukuchunia live ilihali mnajuana kabisa, au akaishia kukupigia honi na kupita

e. mwisho wanajifanya wana mambo mengi, mara ooh wapi sijui mwanaume akiomba date visingizio kibao, wacha waolewe na baba zao

ushauri
=mwambie ajichanganye, ajifunze kumpa mtu nafasi walau kumsikiliza tu na kumwangalia dhamira yake......
=alafu sio lazima yeye ana phd aolewe na phd mwenzake, mapenzi hayako ivo,,,,,
=alafu asidhani kuwa na phd asidhani kwamba ndo yuko perfect so nilazima amkute mwenzie alie perfect,,,,
=mwisho apunguze vigezo vya kujitakia, ooh nataka mme wangu awe hivi, mara vile.. kama ni hivo amchonge wake basi aweke kila kigezo anachotaka
=awe mtu wa imani, azingatie mafundisho ya viongozi wake wa dini, siku atampata mwenza wake tu

mwisho wanawake muache kukariri, maisha sio lazima kuolewa, unaweza kuzaa mtoto wako mmoja ama wawili ukaishi maisha yako fresh kabisa, ilimradi uwe unajiweza , usibakie kuwa omba omba na mtu wa vizinga utaishia kugongwa kwa kupewa hela na wengine wataishia kukukopa penzi....
 
Doh hii grisi safiii
Asante sana amenipigia anacheka anashukuru
Anasema anajichanganya sanaaa year sio mlokole lofaaa disko anaendaaa na ni mcheshi sanaaa hana maringooo

Asante sana rafikii Mungu Akubariki sana

Uje na hukuu STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…