Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

35yrs bado sana, asiwe na papara wala stress. Atampata tu.
 
ahsante... huwa kila mtu ameumbiwa na fungu lake, pengine wakati wake haujafika, atampata wa saizi yake na wanaeendana... alafu mwambie kama anapushi kagari sio kila mda gari, sometimes aje kubanana huku public transport japo aghalabu, pia ibadani (church / msikitini) sio lazima aende na usafiri huku kote mda wa kwenda na kurudi anapata wasaa wa kubadilishana mawazo na watu tofauti tofauti. dress code pia ajiangalie sana, bongoland kwa wadada walioenda shule kidogo huwa ndio waongoza kwa kuvaa ovyo, vigauni vifupi vimeishia kwenye magoti au juu kama anakigari ukimuona amekaa mapaja yote yapo wazi, au ukimuona sehem kama kwenye sherehe utashangaa.. nani alituambia kuvaa ovyo ndio kuonekana msomi ? sijasema avae magunia no, ila kuna nguo zenye staha unaweza kuvaa na kuonekana cute tu, kuna minywele yenu mnavaaga sijui ndio weaving mara peruvian/brazilian hair, mnakua kama majini plus make up, mwanaume akikuangalia akikupimia anaona wewe wa gharama sana, pia anaona hapa amna wife material... vingine mwambie ajiongeze... happy new year
ahahahaha eti kama jini uuuwi
haya bwana amesikia asante
njoio na huku unapitwaaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Mimi ni kijana wa miaka 25
Ni mfanyabiashara na pia nimeajiriwa. Kiuchumi nipo vizuri, pesa ya kubadilisha mboga hainisumbui kabisa. Plan yangu mwakani ni kuoa japo sina bado ambae naweza sema ndo atakuwa my wife and babies' mama. Umri kwangu sijali sana. Kama atakuwa tayari aniPM tujuane tuanzisha mahusiano.
ahahaha bro mbona nimeshakujibu pm angalia vizuri

ukimaliza uje huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Back
Top Bottom