Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

35yrs bado sana, asiwe na papara wala stress. Atampata tu.
 
ahahahaha eti kama jini uuuwi
haya bwana amesikia asante
njoio na huku unapitwaaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
ahahaha bro mbona nimeshakujibu pm angalia vizuri

ukimaliza uje huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
hebu ni PM namba zake faster,,nina sperm nying sitaki kwenda nazo 2018
 
Tatzo anaogopa kupgwa mambo sasa ata uktoa namba c shda tupu. Anahtaj msaada wa kushkriwa uyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…