Msaada: Anataka kuwa Winga

Msaada: Anataka kuwa Winga

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
20240711_201339.jpg
 
anataka kuwa winger wa bidhaa gani aswa awe specific u winger unaanza baada ya kupata mteja mfano anataka kuwa winger wa nguo za kike kama ana simu aanze kwa kupost na anaingia field kwenye maduka ya nguo za kike anachukua namba za wauzaji ao ndo watampa picha za bidhaa na bei elekezi apo yeye ni kucheza part ya muuzaji amn haja ta kujichanganya na ma winger wakati unaitaji wateja. kuwa winger sio lazima kariakoo
asipo elewa ntarudia tena
 
Ila uwinga unakuaga automatically tyuuh!! Niliwahi jaribu kipindi fulani, nilifanya vyema ilaa aaah sikutokea kuupenda nikaupiga chini.

Nilifanya ili nipate ABC za biashara kwa undanii, afu sio lazima iwe KKOO, mbona hata sehemu ingine, tena km ana smartphone ndo kabisaa simple tyuuh.
 
Ila uwinga unakuaga automatically tyuuh!! Niliwahi jaribu kipindi fulani, nilifanya vyema ilaa aaah sikutokea kuupenda nikaupiga chini.

Nilifanya ili nipate ABC za biashara kwa undanii, afu sio lazima iwe KKOO, mbona hata sehemu ingine, tena km ana smartphone ndo kabisaa simple tyuuh.
Nililazimika kuwa winga baada ya kuingia kichwakichwa na notebook, calculator na pen kwenye biashara. Nikafanya sijui research kwenye madaftari nikaingia nikala za uso nikapungua mtaji na kilichobaki nikatumia zikaisha.

Nikatoka nikawa winga biashara fulani nijue mifumo, nikaona siuwezi ila nikajua biashara inavyokuwa ndio nikafungua kibiashara changu nachechemea nacho. Walionisaidia kunielekeza ni wale nilikuwa nawakazia group assignments na vilaza niliokuwa nafundisha kuelekea UE wao vipindi walidoji.

Alafu sasa uwinga unataka dedication kubwa na unawekeza muda mwingi kufaidika nao. Sometimes unafanya vitu humu JF watasema ni vya kijinga, nilikaa miezi mitatu nikatafuta flemu. Yalinishinda
 
Acha kuuliza kutumia jina la mwingine. Ukuje direct
 
Winga lazim ujue mitaa ya kariakoo na machimbo ya bei chee. Nikimwambia amtafute mama Hawq akapate abaya kali awauzie wazanzibar asipate tabu namosmea location tu

Muhimu sana kuiijua mitaa na wanapataga hela mana wemgine wana wateja hadi kongo huko
 
Back
Top Bottom