Msaada, anataka kwenda chuo Diploma Zenji, bahati mbaya alipoteza vyeti vyake

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine.

Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine wanadai asubiri replacement certificate kitu ambacho yeye ana ona atachelewa kwani tuna miezi miwili tu mbele kabla ya chuo kuanza, tunamsaidiaje?
 
Aende akaanze chuo lkn ahakikishe ana viambata (certified by lawyer) vya michakato wa kuomba cheti kingine.Atapokelewa
 
Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine.

Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine wanadai asubiri replacement certificate kitu ambacho yeye ana ona atachelewa kwani tuna miezi miwili tu mbele kabla ya chuo kuanza, tunamsaidiaje?
Ykheee! Ulivyoandika kiwasi wasi hayumkini mwenye kupotelewa cheti ni wewe mwenyewe.
 
Wewe kaaply alafu anza mchakato zanzibar hakuna usumbufu sana utapata mapema lakini siku ya kuripoti ikifika uende na loss report atapokelewa na uwaeleze Hayo unayoeleza hapa
 
Usiseme hivo kaka, mambo si mwepesi mana nasikia wao wanataka replacement certificate ambayo kiluipata ni mchakato mrefu na muda si rafiki
 
Index number anayo hakuna shida aanze tu certificate
Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine.

Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine wanadai asubiri replacement certificate kitu ambacho yeye ana ona atachelewa kwani tuna miezi miwili tu mbele kabla ya chuo kuanza, tunamsaidiaje?
 
Vyeti tu? Haina shida vitapatikana tena kwa mamlaka zilizotoa ila kuna hatua za kufuata ili uvipate tena. Unaanzia polisi, unaenda gazetini, kisha mamlaka zilizotoa cheti hicho, wanahakiki taarifa za elimu yako, wanaingia kwenye kumbukumbu zao na hatimaye wanakupatia cheti chako. Mchakato ni mrefu unatakiwa kuwa na subira na uwe mfuatiliaji ujue umefikia hatua gani upewe cheti chako
 
Back
Top Bottom