Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Bro sijakuelewa yani process iendejeAende akaanze chuo lkn ahakikishe ana viambata (certified by lawyer) vya michakato wa kuomba cheti kingine.Atapokelewa
Kaka ni stori ndefu sana hii dunia iache tu mambo ni mengi ukisimiliwa unaeza Anza kulia ACHA TU yaishie hapa,2013 mpaka leo alikuwa wapi?
Angalieni kipi ni bora na salama isije ikamletea shida kwenye registration
Upi kakaKama una uhakika sawa...
Ykheee! Ulivyoandika kiwasi wasi hayumkini mwenye kupotelewa cheti ni wewe mwenyewe.Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine.
Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine wanadai asubiri replacement certificate kitu ambacho yeye ana ona atachelewa kwani tuna miezi miwili tu mbele kabla ya chuo kuanza, tunamsaidiaje?
njia hii kuna jamaa alishaitumia akapokelewa kabla ya kuhitimu walimwambia alete chetiAende akaanze chuo lkn ahakikishe ana viambata (certified by lawyer) vya michakato wa kuomba cheti kingine.Atapokelewa
Sasa mpaka kuhitimu miaka mitatu alikua bado tu haja pata replacement certificate? Mana nasikia Huwa hawatoi vyeti vinginenjia hii kuna jamaa alishaitumia akapokelewa kabla ya kuhitimu walimwambia alete cheti
Usiseme hivo kaka, mambo si mwepesi mana nasikia wao wanataka replacement certificate ambayo kiluipata ni mchakato mrefu na muda si rafikiWewe kaaply alafu anza mchakato zanzibar hakuna usumbufu sana utapata mapema lakini siku ya kuripoti ikifika uende na loss report atapokelewa na uwaeleze Hayo unayoeleza hapa
Basi kaka ni Mimi nisaidie mawazo kaka ANGU etiiYkheee! Ulivyoandika kiwasi wasi hayumkini mwenye kupotelewa cheti ni wewe mwenyewe.
Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine.
Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine wanadai asubiri replacement certificate kitu ambacho yeye ana ona atachelewa kwani tuna miezi miwili tu mbele kabla ya chuo kuanza, tunamsaidiaje?
Issue ni yeye apokelewe then akibweteka ufuatiliaji atajua mwenyewe na upumbavu wakenjia hii kuna jamaa alishaitumia akapokelewa kabla ya kuhitimu walimwambia alete cheti
Kikubwa yu hai na hajafika mwisho ndo safari inakwenda kuanza. Asikatishwe tamaa na watakao dhani kachelewaKaka ni stori ndefu sana hii dunia iache tu mambo ni mengi ukisimiliwa unaeza Anza kulia ACHA TU yaishie hapa,
ndiyo huwa hawatoi vyeti vingineSasa mpaka kuhitimu miaka mitatu alikua bado tu haja pata replacement certificate? Mana nasikia Huwa hawatoi vyeti vingine
Chuo wata mpokeaIndex number anayo hakuna shida aanze tu certificate
Chuo wata mpokea?Index number anayo hakuna shida aanze tu certificate