Msaada, anataka kwenda chuo Diploma Zenji, bahati mbaya alipoteza vyeti vyake

Shida ni mashaka kupokelewa chuoni ni Bora apokelewe kwanza huku anasubiri cheti necta
 
Kuna mashamba yanakodishwa huku eka 70000 aje alime atakaa kwangu..wakike au wa kiume?
 
Kuna mashamba yanakodishwa huku eka 70000 aje alime atakaa kwangu..wakike au wa kiume?
Kwa sasa tumuache kaka hizo kaz kafanya sana mkuu, na ni nyepesi sana amedai, tumsaidie nae apate hako ka elimu japo kadogo eti, au we hukusoma? Ulikimbia umandee?
 
Kwa sasa tumuache kaka hizo kaz kafanya sana mkuu, na ni nyepesi sana amedai, tumsaidie nae apate hako ka elimu japo kadogo eti, au we hukusoma? Ulikimbia umandee?
NImeishia form4 2014 division 2 ila ndo hivo mzee uchumi ukawa umekaza mixer kuzinguana na mamdogo nikaona isiwe kesi nikazama zangu mtaani kazi za hapa na pale saivi niko na kilimo tu na mambo yanaenda saafi ila kiukweli kwa hasira cheti nilichana lakini sijutii kwasabu kwa sasa sina muda wa kuajiliwa
 
Kijana wa kisasa hupaswi kusoma ili uajiriwe tunasoma kupata cv tu, mentality ya kuajiriwa ni ya kizamani, soma uongeze cv, mfano Rd, prof, hizi ni cv Kali, achana na ajira
 
Kijana wa kisasa hupaswi kusoma ili uajiriwe tunasoma kupata cv tu, mentality ya kuajiriwa ni ya kizamani, soma uongeze cv, mfano Rd, prof, hizi ni cv Kali, achana na ajira
Kula uhakika kuvaa uhakika mke mtoto wanaenjoy kutembelea vimikumi na viserengeti skumojamoja uhakika pia sina streeeessss sasa nijitese na nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…