SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake.
Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie kwa wenye roho za huruma.
Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie kwa wenye roho za huruma.