aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Akienda huoo kwenye ulokole ndiyo atakuwa amechochea moto.Mwambie aokoke! Jini atakimbia mwenyewe!
Mlokole hana uwezo wa kumtoa jini, sana sana jini atakereka na makelele ya walokole.
Kuna shehe yeye anasema anayo dawa ya jini mahaba, dawa yake inatakiwa iwekwe sehemu za siri na anazipaka kwenye uume wake halafu anaingiza ili ziingie vizuri.
Kama yuko tayari amtafute Shehe yeyote atampaka hiyo dawa