Hayo madude huwa yanawafuata mabinti wenye uchu na ambao roho zao hazina ulinzi kiimani.
Nakumbuka miaka iliyopita 199+kuna binti mmoja wa singida alikuwa nalo, yaani alikuwa hakosi kitu anachotaka ila hatakiwi kuwa na boyfriend nje ya hilo dude.
Ila nilikuja kupata taarifa lilimuacha na sasa kaolewa na ana watoto na maisha ni bulibuli.
NofP; Linapokuja ndotoni alichane makavu na kulitupia the power of Jesus Christ halitarudi, vinginevyo ndotoni akiwa anawaza uroda wake na linavyomsg#€§£πa haliwezi kuondoka.
In the name of Jesus son of Heaven Father...