Akienda huoo kwenye ulokole ndiyo atakuwa amechochea moto.Mwambie aokoke! Jini atakimbia mwenyewe!
Amefanya hivyo ili aonekane na wanadamu. Afanye hivyo kwa IMANI na kwa dhamira ya dhati akimtanguliza YESU.MBona kafanya hivyoo
Hakuokoka, Mimi nilishakua Muhanga miaka 15 na siku niliyoamua kuachana na Matamanio ya Dunia hii, hayo Madude yalitafuta pa kwenda, na Wala sikuhangaika kuyaombea ama kuyakemea, Wala sikwenda kuombewa ilikua Mimi tu na Moyo...! Japo mwanzo nimezunguka Sana Kwa Waganga wengi mpaka nje ya Nchi, nimeombewa Sana mpaka Kwa Mwamposa ila haikusaidia...! Ilibidi Mimi mwenyewe niamue.MBona kafanya hivyoo
You nailed it👊Umri huu kupata mwanume inaweza kuwa ngumu japo inawezekana .
Hapa nazungumzia kumpata mwanaume wa kudumu .
So Kama anafanya biashara ajaribu either kuitangaza Sana ktk social network platforms
Then Kama anahitaji mwanaume then yeye Ana 39 yrs ajaribu kuwa closed na wanaume wenye age kuanzia 50+ hapo na Kama hajapata mtoto at that age inaweza kutokea birth complications .
Badala ya kusema habari za jini mahaba akae na wataalamu wa Saikolojia .
Dunia imebadilika you need to be smart .
Uchawi upo Ila matatizo ya waafrica asilimia kubwa yanatokana na akili zao psychological problem and not spiritual problem .walk with faith and mind and not faith only.
Mpendwa, maneno haya wangeyajua wasingekunywa mafuta au maji ya nini sijui kama wanavyoaminishwa.Aliyeokoka hanywi mafuta, kama ameokoka, aanze kuikataa hiyo roho chafu itakimbia, Neno linasema mpingeni shetani naye atawakimbia
DuhhhAkienda huoo kwenye ulokole ndiyo atakuwa amechochea moto.
Mlokole hana uwezo wa kumtoa jini, sana sana jini atakereka na makelele ya walokole.
Kuna shehe yeye anasema anayo dawa ya jini mahaba, dawa yake inatakiwa iwekwe sehemu za siri na anazipaka kwenye uume wake halafu anaingiza ili ziingie vizuri.
Kama yuko tayari amtafute Shehe yeyote atampaka hiyo dawa
Ameacha huu mwaka watatuPole Dada! Dawa zipo utapona, ila Cha kwanza acha mahusiano na mtu yeyote for almost 6 months, ndipo uanze tiba yoyote utakayopatiwa.
Huyu demu ni muislam?Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake.
Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie kwa wenye roho za huruma.
sasa si anamtomb** hapoAkienda huoo kwenye ulokole ndiyo atakuwa amechochea moto.
Mlokole hana uwezo wa kumtoa jini, sana sana jini atakereka na makelele ya walokole.
Kuna shehe yeye anasema anayo dawa ya jini mahaba, dawa yake inatakiwa iwekwe sehemu za siri na anazipaka kwenye uume wake halafu anaingiza ili ziingie vizuri.
Kama yuko tayari amtafute Shehe yeyote atampaka hiyo dawa
Shekh Ngono huyu [emoji16]Akienda huoo kwenye ulokole ndiyo atakuwa amechochea moto.
Mlokole hana uwezo wa kumtoa jini, sana sana jini atakereka na makelele ya walokole.
Kuna shehe yeye anasema anayo dawa ya jini mahaba, dawa yake inatakiwa iwekwe sehemu za siri na anazipaka kwenye uume wake halafu anaingiza ili ziingie vizuri.
Kama yuko tayari amtafute Shehe yeyote atampaka hiyo dawa
Kaacha kuokoka? Nakazia, mwambie ampokee Yesu, jini na Yesu hawaishi zizi moja.MBona kafanya hivyoo
Sio kweli...!Hayo madude huwa yanawafuata mabinti wenye uchu na ambao roho zao hazina ulinzi kiimani.
Nakumbuka miaka iliyopita 199+kuna binti mmoja wa singida alikuwa nalo, yaani alikuwa hakosi kitu anachotaka ila hatakiwi kuwa na boyfriend nje ya hilo dude.
Ila nilikuja kupata taarifa lilimuacha na sasa kaolewa na ana watoto na maisha ni bulibuli.
NofP; Linapokuja ndotoni alichane makavu na kulitupia the power of Jesus Christ halitarudi, vinginevyo ndotoni akiwa anawaza uroda wake na linavyomsg#€§£πa haliwezi kuondoka.
In the name of Jesus son of Heaven Father...