Habari zenu Education Forum,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes za anatomy of the hand;
HINTS:
-Carpal bones
-skin of the palm
-Deep fascial of the palm
-Palmar aponeurosis
-Nervr supply
-Applied anatomy
Ila in general ANATOMY OF THE HAND.....Attachment. Thanks
There are lot of onlines sources,not only on Anatomy,but also on so many other medical courses
Kama umeweza kuaccess JF,basi waweza pita Slideshare ukapata manotes yote
Siku hizi watu hawaombi notes,unaangalia mtaala unahitaji ujue vitu gani,then unaenda kwenye vitabu ulivyokuwa recommended na mwalimu wako..Kuongeza maarifa sasa ndio waenda mtandaoni kama slideshare na tutorials za You Tube
If you are really a medical students, then utakua umefundishwa maana ya confidentiality and how sacred and private the medical classes areHabari zenu Education Forum,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes za anatomy of the hand;
HINTS:
-Carpal bones
-skin of the palm
-Deep fascial of the palm
-Palmar aponeurosis
-Nervr supply
-Applied anatomy
Ila in general ANATOMY OF THE HAND.....Attachment. Thanks
If you are really a medical students, then utakua umefundishwa maana ya confidentiality and how sacred and private the medical classes are
Pleaase stop doing this to this profession
If you are really a medical students, then utakua umefundishwa maana ya confidentiality and how sacred and private the medical classes are
Pleaase stop doing this to this profession
Uko sawa... but privacy is on other activities,like diagnosis!
Anatomy haiitaji privacy,ndio maana hata internet iko open for all.
What is anatomy!?
vyuo vimekua vingi hata pa kutafuta msaada hawaelekezwi
What is professionalism ukirejea kwenye post yang!? Labda tuanzie hapo.....
Acha siasa .....