Msaada: Anatomy of the hand notes

Msaada: Anatomy of the hand notes

Meizon

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
279
Reaction score
105
Habari zenu Education Forum,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes za anatomy of the hand;
HINTS:
-Carpal bones
-skin of the palm
-Deep fascial of the palm
-Palmar aponeurosis
-Nervr supply
-Applied anatomy
Ila in general ANATOMY OF THE HAND.....Attachment. Thanks
 
There are lot of onlines sources,not only on Anatomy,but also on so many other medical courses

Kama umeweza kuaccess JF,basi waweza pita Slideshare ukapata manotes yote

Siku hizi watu hawaombi notes,unaangalia mtaala unahitaji ujue vitu gani,then unaenda kwenye vitabu ulivyokuwa recommended na mwalimu wako..Kuongeza maarifa sasa ndio waenda mtandaoni kama slideshare na tutorials za You Tube
 
Chukua snell's au moore utapata anatomy nzuri tu
 
There are lot of onlines sources,not only on Anatomy,but also on so many other medical courses

Kama umeweza kuaccess JF,basi waweza pita Slideshare ukapata manotes yote

Siku hizi watu hawaombi notes,unaangalia mtaala unahitaji ujue vitu gani,then unaenda kwenye vitabu ulivyokuwa recommended na mwalimu wako..Kuongeza maarifa sasa ndio waenda mtandaoni kama slideshare na tutorials za You Tube

Kuna Outlines ambazo lecturer alizitoa, in short ninatakiwa kufanya presentation so kuna vipengele vichache navitafuta sivioni nikaja humu nipate information zaidi......
 
Habari zenu Education Forum,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia notes za anatomy of the hand;
HINTS:
-Carpal bones
-skin of the palm
-Deep fascial of the palm
-Palmar aponeurosis
-Nervr supply
-Applied anatomy
Ila in general ANATOMY OF THE HAND.....Attachment. Thanks
If you are really a medical students, then utakua umefundishwa maana ya confidentiality and how sacred and private the medical classes are

Pleaase stop doing this to this profession
 
Uko sawa... but privacy is on other activities,like diagnosis!
Anatomy haiitaji privacy,ndio maana hata internet iko open for all.
What is anatomy!?
 
vyuo vimekua vingi hata pa kutafuta msaada hawaelekezwi
 
Uko sawa... but privacy is on other activities,like diagnosis!
Anatomy haiitaji privacy,ndio maana hata internet iko open for all.
What is anatomy!?

hata hizo basic dissection zina maana yake... unless hamjasoma historia ya medical profession!!
 
What is professionalism ukirejea kwenye post yang!? Labda tuanzie hapo.....
 
Siku post ili kujionyesha mimi ni medical student..jamani tujaribu kuwa na mtazamo chanya juu ya post za watu wazawa... acha nisiseme lolote zaidi.
THANKS ANYWAYS
 
Last edited by a moderator:
tafuta clinically oriented anatomy by keith Moore soma vizuri then ingia google download Acland's anatomy videos .ONYO: WEKA MBALI NA WATOTO
 
Back
Top Bottom