Dawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
Kama nlivyoandikaFlucamox ni mchanganyiko wa nini na nini?
Mtatuua nyie madaktari wa mitandaoni
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?
you are right madam ukijitibu akumbuke na mpenzi wake kumtibuUTI ukijitibu mtibu na mshirika wako;
hivi hivi ni kazi bure.
Mpe pole.
Mi nashauri atumie hyo hyo aliopewa labda ugonjwa haujawa mkubwa ila kama haitomsaidia kabisa arudi kwa Dr..ila mm huo ugonjwa ulinisumbuaga sana nkachomwa hyo powersafe ila hyo wanakuandikia kama inajirudiarudia sanaAnaweza akatumia hiyo, na kukatisha aliyopewa?
ezeee2 mkuu, hahahaaaaaFlucamox
Kama nlivyoandika
Fluconazole is an anti fungal drugsFlucamox = Flucloxacillin + Amoxicillin
Labda nikuulize,Fluconazole ina kazi gani kwa mgonjwa mwenye UTI .Hata kama sie sio madaktari lakini msipotoshe watu bana
Haya daktariFlucamox = Flucloxacillin + Amoxicillin
Labda nikuulize,Fluconazole ina kazi gani kwa mgonjwa mwenye UTI .Hata kama sie sio madaktari lakini msipotoshe watu bana
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?
Najua,kwa hiyo unakubaliana na mdau hapo juu kuwa flu kwenye flucamox ni fluconazole?Kuna product gani kwenye market umeiona ina huo mchanganyiko?Fluconazole is an anti fungal drugs
may be kama hajapima
na kama ako na dalili za Discharge esp whitish in colour like curd milk and itching
UTI-maji ya kutosha 6-8 glasses per day
personal hygiene crucial,Avoiding sharing toilets
Couple treatment ni best
Aliandikiwa dawa gani mwanzoni na kwanin abadili zimemletea matatizo kama vile allergy?
Kwan UTI ni STI????UTI ukijitibu mtibu na mshirika wako;
hivi hivi ni kazi bure.
Mpe pole.