Msaada; Anaumwa UTI anataka kubadili dose!

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
291
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?
 
Dawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
 
huyo amepima vipimo kweli? au amejinywea dawa tu kumbuka unapewa dawa kulingana na ugonjwa upo stage gani kama ni ndogo hata amoxilin inatibu kama ni kubwa sindano inamuhusu hapo
 
Alitakiwa amalize dose yote baada ya hapo angeona maendeleo, UTI unapewa dawa inayotegemea imefikia hatua gani kuna ambao wametumia hiyo ammoxilin haikuwasaidia.
Ushauri amuone daktari tu
 
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?

Mwambie amalize kwanza dose,lack of adherence ni miongoni mwa sababu kuu za emergency of resistant strains of microbes

Akimaliza na asipone ndio ataangalia uwezekano wa kubadili,

Nashauri amalize dose vizuri na kwa maelekezo aliyopewa na hali ikiendelea aende hospitali nzuri akafanye vipimo upya ndio abadili dawa
 
Dawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu

Anaweza akatumia hiyo, na kukatisha aliyopewa?
 
Mi nashauri atumie hyo hyo aliopewa labda ugonjwa haujawa mkubwa ila kama haitomsaidia kabisa arudi kwa Dr..ila mm huo ugonjwa ulinisumbuaga sana nkachomwa hyo powersafe ila hyo wanakuandikia kama inajirudiarudia sana
 
Flucamox = Flucloxacillin + Amoxicillin

Labda nikuulize,Fluconazole ina kazi gani kwa mgonjwa mwenye UTI .Hata kama sie sio madaktari lakini msipotoshe watu bana
Fluconazole is an anti fungal drugs
may be kama hajapima
na kama ako na dalili za Discharge esp whitish in colour like curd milk and itching

UTI-maji ya kutosha 6-8 glasses per day

personal hygiene crucial,Avoiding sharing toilets

Couple treatment ni best

Aliandikiwa dawa gani mwanzoni na kwanin abadili zimemletea matatizo kama vile allergy?
 
Haya daktari
 
Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?
1478019140394.jpg
 
Fluconazole is an anti fungal drugs
may be kama hajapima
na kama ako na dalili za Discharge esp whitish in colour like curd milk and itching

UTI-maji ya kutosha 6-8 glasses per day

personal hygiene crucial,Avoiding sharing toilets

Couple treatment ni best

Aliandikiwa dawa gani mwanzoni na kwanin abadili zimemletea matatizo kama vile allergy?
Najua,kwa hiyo unakubaliana na mdau hapo juu kuwa flu kwenye flucamox ni fluconazole?Kuna product gani kwenye market umeiona ina huo mchanganyiko?
 
Back
Top Bottom