Msaada; Anaumwa UTI anataka kubadili dose!

hio tabia ya kunywa dawa robo af unaacha ndo inaongeza resistant strains aisee kwann usinywe dawa km ulivyoelekezwa? km hujapata nafuu rudi hospitali uwaeleze watajua waprescribe dawa ipi
 
Most of the organism wanaosababisha UTI ni gram Negative like E.Coli japo na wengine wapo gram positive dawa inatolewa ili kwenda kumtaget yule bacteria dawa za penicillin ni nzuri kwa gram positive japo nazo zinatibu UTI

Ila siku hizi watu wamekua na Tabia ya kujinunulia dawa bila kupima na hawamaliza dawa hivyo kusababisha Drugs Resistance(Usugu wa dawa) ex dawa kama vile Amoxicillin,Septrine ni vizzuri kumwambia Dr dawa ulizotumia

Cha msingi amalize hiyo aliyoandikiwa halafu anaweza kwenda kufanya Control akikuta bado kuna shida Dr atampa dawa ingine
 
Najua,kwa hiyo unakubaliana na mdau hapo juu kuwa flu kwenye flucamox ni fluconazole?Kuna product gani kwenye market umeiona ina huo mchanganyiko?
Flu does not represent Fluconazole sijakubaliana naye ndugu.
Flu-Flucloxacilin
 
Dawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
aisee mkuu flucamox si fluconazole+amoxicillin..mtaumiza watu aisee
 
Chief wangu ukipiga polypharmacy(machine gun treatment) alikua anakwambia Utaua mgonjwa mkuu
hahahaa machief ni wakuda kinoma ila walikua right maana ndo km haya sasa tunayaona
 
Nimepata elimu nzur ila kuna mtu kauliza kuhusu UTI na STI mngemjibu wengine tufaidike wataalamu
 
Dawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
Flucamox n mchanganyiko wa amoxycillin na flucloxacillin.....na sio fluconazole ulotaja hapo juu
 
Huyo Jamaa yako asipo pona Hospitali Mwambie anitafute mimi nipate kumtibia apate kupona akihitaji matibabu yangu
Anaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 

Amerudi tena hospital, kaambiwa ana ugonjwa unaitwa GDS sijui hata ndio Nini!
 
angekuwa amemaliza Dose hajapona kwa mm ningemshauri apate Dose kubwa na mchanganyiko wa antibiotic zingine! Kama co-trimoxazole 4bdx2/7 na ningempa metronidazole 2tds 5/7 kwa kutibu TV na mwisho ningempa caps doxy 100mg bid 5/7 Hapo kama hapo kama hajapona mhuu! Tiba hii watu wa pharmacologia wasiishangae!
 
Amerudi tena hospital, kaambiwa ana ugonjwa unaitwa GDS sijui hata ndio Nini!
GDS...Genital discharge Syndrome

Jamaa ni vizuri afanye mchanganyikobwa dawa kabla kitu haijawa sugu

AU afanye urethal swab for culture and sensitivity tujue specific organism

Sababu GDS inaeza sababishwa na magonjwa kama vile

Clamydia trachomatis
Neisseria gonnorhoea
Candidiasis
Trichomonas Vaginalis

yeye kafanya kipimo gani vile?
 
Namshauri asisikilize watu wa kitaa arudi tu kwa daktari wake maana ndo ana info zake kiac kwanga hata hiyo dawa itamletea shida atasaidika tofauti na ushaur wa watu wa kitaa hata akipata shida itashindikana pa kuanzia ili kumsaidia halafu pia muhimu ni kwamba dawa ukishaanza dosage hata kama unajiona umepona kabisa ni vyema ukamaliza dose maana kujisitishia dawa kunasababisha usugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…