Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most of the organism wanaosababisha UTI ni gram Negative like E.Coli japo na wengine wapo gram positive dawa inatolewa ili kwenda kumtaget yule bacteria dawa za penicillin ni nzuri kwa gram positive japo nazo zinatibu UTI
Flu does not represent Fluconazole sijakubaliana naye ndugu.Najua,kwa hiyo unakubaliana na mdau hapo juu kuwa flu kwenye flucamox ni fluconazole?Kuna product gani kwenye market umeiona ina huo mchanganyiko?
aisee mkuu flucamox si fluconazole+amoxicillin..mtaumiza watu aiseeDawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
Chief wangu ukipiga polypharmacy(machine gun treatment) alikua anakwambia Utaua mgonjwa mkuuaisee mkuu flucamox si fluconazole+amoxicillin..mtaumiza watu aisee
hahahaa machief ni wakuda kinoma ila walikua right maana ndo km haya sasa tunayaonaChief wangu ukipiga polypharmacy(machine gun treatment) alikua anakwambia Utaua mgonjwa mkuu
UTI sio sawa na STI.Nimepata elimu nzur ila kuna mtu kauliza kuhusu UTI na STI mngemjibu wengine tufaidike wataalamu
Flucamox n mchanganyiko wa amoxycillin na flucloxacillin.....na sio fluconazole ulotaja hapo juuDawa nzuri zaidi huwa n flucamox au sindano ya powersafe njuavyo mm tena hiyo flucamox n mchanganyiko wa fluconazore na amoxclyn na kama anatoka uchafu n nzuri pia maoni yangu
Kwan mchepuko nae ana kaUTI![emoji12]pia atibu n.a. mchepuko wake
Huyo Jamaa yako asipo pona Hospitali Mwambie anitafute mimi nipate kumtibia apate kupona akihitaji matibabu yanguHabari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza!
Je ipi dose nzuri kwake?
Most of the organism wanaosababisha UTI ni gram Negative like E.Coli japo na wengine wapo gram positive dawa inatolewa ili kwenda kumtaget yule bacteria dawa za penicillin ni nzuri kwa gram positive japo nazo zinatibu UTI
Ila siku hizi watu wamekua na Tabia ya kujinunulia dawa bila kupima na hawamaliza dawa hivyo kusababisha Drugs Resistance(Usugu wa dawa) ex dawa kama vile Amoxicillin,Septrine ni vizzuri kumwambia Dr dawa ulizotumia
Cha msingi amalize hiyo aliyoandikiwa halafu anaweza kwenda kufanya Control akikuta bado kuna shida Dr atampa dawa ingine
vp kuhusu STI inaambukizwa kwa sexUTI sio sawa na STI.
UTI haiambukizwi kwa sex.
GDS...Genital discharge SyndromeAmerudi tena hospital, kaambiwa ana ugonjwa unaitwa GDS sijui hata ndio Nini!