Habarini Jamani.Naombeni ushauri wenu.
Nipo kwenye mahusiano na msichana mmoja ambae amesoma MVUMI DCT Chuo cha Manesi na Wauguzi Wasaidizi.Juma lililopita alikua akiniambia anawashwa/anasikia ------(Anus) wake/yake INAMUWASHA.Nilishituka kidogo.Aliniambia eti anahc kama kumechubuka.Haikupita hata siku 2 kuna dawa naona anatumia kwa KUZISOKOMEZA MKUNDUNI.NI VIDONGE NA CAPSULES.Nimeshituka kwa sababu ninahisi kuna mtu alimpa 0713......NAOMBENI USHAURI WENU,HUYU DADA ATAKUA NA MATATIZO GANI?Nikimuuliza haniambii kabisa.Ahsanteni.