Msaada: Anawashwa sehemu ya haja kubwa

Msaada: Anawashwa sehemu ya haja kubwa

Mzalendo 090

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
22
Reaction score
7
Habarini Jamani.Naombeni ushauri wenu.
Nipo kwenye mahusiano na msichana mmoja ambae amesoma MVUMI DCT Chuo cha Manesi na Wauguzi Wasaidizi.Juma lililopita alikua akiniambia anawashwa/anasikia ------(Anus) wake/yake INAMUWASHA.Nilishituka kidogo.Aliniambia eti anahc kama kumechubuka.Haikupita hata siku 2 kuna dawa naona anatumia kwa KUZISOKOMEZA MKUNDUNI.NI VIDONGE NA CAPSULES.Nimeshituka kwa sababu ninahisi kuna mtu alimpa 0713......NAOMBENI USHAURI WENU,HUYU DADA ATAKUA NA MATATIZO GANI?Nikimuuliza haniambii kabisa.Ahsanteni.
 
Kama Ni Kweli Unachosema Mpe Dawa Ya Minyoo Tatizo Litaisha
 
Lakini inawezekana alitoa 0712 na kama ni siku ya kwanza kutoa tgo ndio kuna dalili kama hizo, ila sio lazima iwe kwamba aliliwa 0712 kwani tatizo hilo pia hutokana na minyoo.
 
aise makubwa haya ana sokomeza huko kwenye tigo kuna kitu hapo si bure
 
Back
Top Bottom