nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
duh mimi si mzinzi ni nature tu ya sisi wanaume wote, na ndio kilichotokeaHiyo ndo faida ya mzinzi una mke bado watanga nje, hiyo ni mwanzo ngoma ya kunyemelea
ni nature ndugu hata mm nilijuta ila I meshatokea,kwa hiyo uliuza mechi kwenye nje cup?
msaada wako n mhimu kk,Sawa
duh mtihani huu,mpeleke huyo binti hospital kwanza, dawa atakazopewa umpe na mkeo pia.
Chakukushauri nenda kapime tu ujue mojaduh mimi si mzinzi ni nature tu ya sisi wanaume wote, na ndio kilichotokea
msaada wako n mhimu hapa bro
shukran mkuu.Chakukushauri nenda kapime tu ujue moja
thanks mkuu.Jaribu kupitia na hapa mkuu Kuwashwa ukeni
hapa cjaelewa ila Kama n usafi wife n msafi Sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daaa..kwani ye yukoje lbd yaweza kua ni fangasi..or kutokua clean
ndiyo inawezekana, nenda hospital ukatibiwe sambamba na mkeo na huo mchepuko wako.ni nature ndugu hata mm nilijuta ila I meshatokea,
je nawezakua nmepata gonjwa la zinaa?
thanks mkuundiyo inawezekana, nenda hospital ukatibiwe sambamba na mkeo na huo mchepuko wako.
Mbona ni shida kidogo Sana,binti ulietembea nae Ana fungusi,na Ni ugonjwa unaosumbua Sana.Hata wewe unahitaji matibabu ya kina,sambamba na mkeo.Angalia next time unaweza mpeleka mkeo kaburini,sababu ya vibinti.Ngono salama inasimama wapi MBE?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daaa..kwani ye yukoje lbd yaweza kua ni fangasi..or kutokua clean
thanks alot mkuu, najuta aseeMbona ni shida kidogo Sana,binti ulietembea nae Ana fungusi,na Ni ugonjwa unaosumbua Sana.Hata wewe unahitaji matibabu ya kina,sambamba na mkeo.Angalia next time unaweza mpeleka mkeo kaburini,sababu ya vibinti.Ngono salama inasimama wapi MBE?