Msaada, anawashwa ukeni na amekutwa na UTI, je atakuwa na tatizo lingine?

Msaada, anawashwa ukeni na amekutwa na UTI, je atakuwa na tatizo lingine?

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
5,960
Reaction score
9,978
Mke wangu anapata maumivu na kuwashwa ukeni,

Nimempeleka hospitali amekutwa na UTI ila sina hakika kua sababu za kuwashwa kwake ni UTI pekee maana kabla ya yeye kupata hilo tatizo, nilitembea na binti fulani hivi so nashindwa kuelewa itakua ni gonjwa la zinaa au itakua ni UTI hiyo hiyo.

Niambieni kitu wajuvi ili linitoke dukuduku maana mimi sijapima.
 
Hiyo ndo faida ya mzinzi una mke bado watanga nje, hiyo ni mwanzo ngoma ya kunyemelea
duh mimi si mzinzi ni nature tu ya sisi wanaume wote, na ndio kilichotokea

msaada wako n mhimu hapa bro
 
mpeleke huyo binti hospital kwanza, dawa atakazopewa umpe na mkeo pia.
 
thanks mods kwa kuweka sawa heading,

JF doktas msaada plz
 
Kama anawashwa, mkune, wala hauitaji doctor, wako madoctor pimbi wengi sana humu wape kazi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daaa..kwani ye yukoje lbd yaweza kua ni fangasi..or kutokua clean
Mbona ni shida kidogo Sana,binti ulietembea nae Ana fungusi,na Ni ugonjwa unaosumbua Sana.Hata wewe unahitaji matibabu ya kina,sambamba na mkeo.Angalia next time unaweza mpeleka mkeo kaburini,sababu ya vibinti.Ngono salama inasimama wapi MBE?
 
thanks alot mkuu, najuta asee
 
UTI haiwezi kusababisha mtu kuwashwa, huwa na maumivu chini ya kitovu kama ni savere, ikiendelea sana anaweza pata pelvic inflamatory diseases PID,kisha inapelekea mtu kuwa tasa, fungus ndo inatabia ya kuwasha, kwa hiyo huyo dada anafungal infection pia.
 
Back
Top Bottom