expter
New Member
- Nov 30, 2020
- 2
- 9
MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari. Mwenye ujuzi na biashara kama hizi naomba anijuze taratibu za biashara hii. Nipo serious nahitaji ushauri wa kweli