MOI JOHN
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 1,735
- 1,082
Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama madaftari,mavazi ya chuo nk. Je, ni sanduku la chuma au mchina? Msaada kwenu tafadhali Wanasheria, kwa aliyesomea au anayesoma hapo nahitaji uhakika zaidi.