Msaada: anayefahamu chuo cha sheria Lushoto(IJA)

MOI JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
1,735
Reaction score
1,082
Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama madaftari,mavazi ya chuo nk. Je, ni sanduku la chuma au mchina? Msaada kwenu tafadhali Wanasheria, kwa aliyesomea au anayesoma hapo nahitaji uhakika zaidi.
 
haina haja ya sanduku kwan kila room ya hostel ina kabato so kila mtu hupewa mlango wakabati na,kupewa funguo zake ndio hicho tu
 
Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama madaftari,mavazi ya chuo nk. Je, ni sanduku la chuma au mchina? Msaada kwenu tafadhali Wanasheria, kwa aliyesomea au anayesoma hapo nahitaji uhakika zaidi.

For More Legal Details Please Consult Tundu Lissu.
 
Kuna barid kali, alafu kufeli watu 50 kwenye darasa lenu ni kawaida. Kama hutoweza tafuta chuo kingne uende
 
hahaha usimuogopeshe kuhusu kufeli ni wew mwenyew km uliend kusom nutafaulu km ulifat mengine ni sawa bt kipo vizur ktk law muache akosome
 
Ija ni pazuri me nilichaguliwa sehemu mbili pamoja na mzumbe nikaamua kwenda mzumbe IJA papo vizuri sana hakuna haja ya kwenda na sanduku la chuma begi lalo la kawaida tu linatosha.lkn ukomae na kusoma wapo serious coz mnakuwa wengi sana all the best.
 
Back
Top Bottom