Nimechaguliwa kujiunga na CL(Certificate in Law) chuo cha sheria Lushoto, mahitaji muhimu nayafahamu lakini nahitaji kujua ni aina gani ya sanduku linafaa kuhifadhi vitu vyangu kama madaftari,mavazi ya chuo nk. Je, ni sanduku la chuma au mchina? Msaada kwenu tafadhali Wanasheria, kwa aliyesomea au anayesoma hapo nahitaji uhakika zaidi.

Kuna barid kali, alafu kufeli watu 50 kwenye darasa lenu ni kawaida. Kama hutoweza tafuta chuo kingne uende
Hostel zenyewe mnakaa watu hadi nane chumba kimoja haswa za wavulana