Msaada, anayefahamu kuhusu JKT

Msaada, anayefahamu kuhusu JKT

mr iko press

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
56
Reaction score
3
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo mengine. kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili anijuze,
 
Naona hujielewi wewe!! kwa ushauri wa bure tu fikiri mitihani yako kwanza kama hujaridhika swali lako peleka facebook.
 
mkuu mtihani upo tu, unafikiri kama sijajiandaa miaka miwili hzi siku 30 ndo nitajiandaa? hapa ni mipango broo
 
usiogope kjana, JKT haipo tena coz serkal haiwez toa mabilion kwa ajir ya kulsha vjana huko, maana mwaka huu kila kigogo anawaza kuchota mabilion ya kusepa nayo na kufanyia campaign so KWA MUJIBU haipo tena!!!
 
serikali itakuwa imesitisha JKT maana mwanzo walidhani watu wakienda JKT watakuwa na nidhamu ya woga lakini si hivyo
 
jiandae tu hiki kikombe kinakuhusu
 
Attachments

  • 1427518333433.jpg
    1427518333433.jpg
    25.7 KB · Views: 439
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo mengine. kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili anijuze,

Usijali taifa lazma ukalitumikie
 
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo mengine. kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili anijuze,
Hebu angalia picha hyo
 
Attachments

  • 1427549131113.jpg
    1427549131113.jpg
    34.8 KB · Views: 400
mkuu mtihani upo tu, unafikiri kama sijajiandaa miaka miwili hzi siku 30 ndo nitajiandaa? hapa ni mipango broo

utafeli ww wako waliojiamini wakala zero jua mtihani atungi sha..nga..zi yako kaka tuliza mshono soma
 
kama unania ya kwenda JKT cha msing ondoa hofu ..
kumekuwa na fununu za uwongo et kuna mateso na udharirishaji ila hz funun co za kweli fungua moyo kila kitu kinawezekana kwan hao unao waona sas waliweza vp ,kajioneee mwenyew usiisgie kuambiwa bhana jeshn raaahaa sanaaa
 
dgo jiandae2,,jkt halikwepeki......kulia mwishooooooo.......wanagomesha babaa....!!!!
 
JKT Imesitisha mpango wa jkt kwa Mujibu wa sheria mwezi July wanachukua vijana wa kujitolea source, mwakilishi wa Rais mahafal ya OP miaka 50 ya muungano awamu ya pili 833kj Oljoro, tar 29 december 2014
 
kama unania ya kwenda JKT cha msing ondoa hofu ..
kumekuwa na fununu za uwongo et kuna mateso na udharirishaji ila hz funun co za kweli fungua moyo kila kitu kinawezekana kwan hao unao waona sas waliweza vp ,kajioneee mwenyew usiisgie kuambiwa bhana jeshn raaahaa sanaaa

jeshi ni morari jamani zzzzzaaacha, zndunawia ndiena ndiena maama znduna wiaaa!!!
 
Back
Top Bottom