mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Ikiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo mengine. kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili anijuze,
Hebu angalia picha hyoIkiwa zimebaki siku 37 tufanye mtihani wa kidato cha sita. kuna tetesi kwamba huenda suala la kujiunga na JKT lisiwepo, mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ajiandae kwenda jeshi au kufanya mambo mengine. kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu hili anijuze,
mkuu mtihani upo tu, unafikiri kama sijajiandaa miaka miwili hzi siku 30 ndo nitajiandaa? hapa ni mipango broo
kama unania ya kwenda JKT cha msing ondoa hofu ..
kumekuwa na fununu za uwongo et kuna mateso na udharirishaji ila hz funun co za kweli fungua moyo kila kitu kinawezekana kwan hao unao waona sas waliweza vp ,kajioneee mwenyew usiisgie kuambiwa bhana jeshn raaahaa sanaaa
jeshi ni morari jamani zzzzzaaacha, zndunawia ndiena ndiena maama znduna wiaaa!!!