Msaada, anayefahamu kuhusu JKT

Msaada, anayefahamu kuhusu JKT

.Wiiiiiiii!.. Ewaaaaaaa yanyukwee..... Yakobolewee.....
Sina patinaaa aaaah, sina patinaaaaah nalala pekee yanguuu,, As weaaa umekuja kuimbaa hapa simama juuu uuuup!.... Uuuuup
 
usiogope kjana, JKT haipo tena coz serkal haiwez toa mabilion kwa ajir ya kulsha vjana huko, maana mwaka huu kila kigogo anawaza kuchota mabilion ya kusepa nayo na kufanyia campaign so KWA MUJIBU haipo tena!!!

Acha kumdanganya dogo,dogo jkt ipo pale pale we jipange tuu kunywa maji mengi fanya mazoez kwa sana jkt lipo kwn mwaka jana walifanyaje walichelewa toa post za jkt iv iv wakatoa post watu wapo katikati ya pepa serikari inaela ww acha masihara jkt ipo jipange...
 
Danger Coy foleni chelewa uone,
Kanembwa 824 Kj,
ni Nouma 2014,
hatareeeeeh
 
Back
Top Bottom