jamaa umenikumbusha mbali sana,,, aisee MI NATAFUTA KUNA WIMBO MMOJA UNAIMBWA! oya washkaji mmemwona peter kapita!! Anhaa aah!! Oya washkaji mmemwona peter kapita!?anhaa aah! Hata ana rasi! Hata ana chest! Uyu jamaa anaitwaje? Jina la wimbo,
NAMIMI NIMEUTAFUTA HUU WIMBO MWAKA WA NNE SASA BILA MAFANIKIO NAOMBA ALIYEUPATA ANIPATIE NAMIKuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi
"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"
kwa unaepata huo wimbo naomba anielekeze wapi pa kuupata.
mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!
unaitwaje huu, na aliimba nani?[emoji41]
hpanaSio Fid Q?
Solo thang ft Q chilla_kilio ....mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!
unaitwaje huu, na aliimba nani?[emoji41]
sio fid q n solo thangSio Fid Q?
Sio Fid Q?
hpana
Mwalimu wangu wa chekecheaMi nautafuta ule unaimbwa
Hii ndio a...aaaa aaaa aaaaaa
ipo kama kikombeeee aaaa aaaa aaaa
Hii ndio ee .... eeee eeee eeee
ipo kama kaataaa eeeee eeee eee
Kaimba nani sjui....Sjui ni King Kiba yuleee.....Anayeujua tafadhali
[emoji125][emoji125][emoji125]asante kwa msaada nikaupakue kama upoSolo thang ft Q chilla_kilio ....
Unaitwaa ahaa ahaa wa tunda man,Kipindi io anachana...