Msaada : Anayeijua huu wimbo.

Msaada : Anayeijua huu wimbo.

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi

"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"

kwa unaepata huo wimbo naomba anielekeze wapi pa kuupata.
 
jamaa umenikumbusha mbali sana,,, aisee MI NATAFUTA KUNA WIMBO MMOJA UNAIMBWA!

oya washkaji mmemwona peter kapita!! Anhaa aah!!
Oya washkaji mmemwona peter kapita!?anhaa aah!
Hata ana rasi! Hata ana chest!

Uyu jamaa anaitwaje? Jina la wimbo,
 
Unaitwa ahaa ahaa wa tunda man,Kipindi io anachana...

jamaa umenikumbusha mbali sana,,, aisee MI NATAFUTA KUNA WIMBO MMOJA UNAIMBWA! oya washkaji mmemwona peter kapita!! Anhaa aah!! Oya washkaji mmemwona peter kapita!?anhaa aah! Hata ana rasi! Hata ana chest! Uyu jamaa anaitwaje? Jina la wimbo,
 
Unaitwaa ahaa ahaa wa tunda man,Kipindi io anachana...
 
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi

"jamani mashabiki(shuka shuka),
mashabiki bwana(shuka shuka),
hata biti halijaanza(shuka shuka)"

kwa unaepata huo wimbo naomba anielekeze wapi pa kuupata.
NAMIMI NIMEUTAFUTA HUU WIMBO MWAKA WA NNE SASA BILA MAFANIKIO NAOMBA ALIYEUPATA ANIPATIE NAMI
 
mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!

unaitwaje huu, na aliimba nani?[emoji41]
 
mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!

unaitwaje huu, na aliimba nani?[emoji41]

Sio Fid Q?
 
mimi natafuta wimbo mmoja hivi unaimbwa...
"ni verse ya kwanza , naanza
stone kama banza
niite Mtanza-
Nia ndo ya kwanza..
ukifuga viroboto usiogope kutoa funza"!!!

unaitwaje huu, na aliimba nani?[emoji41]
Solo thang ft Q chilla_kilio ....
 
Mie Nautafuta Wa Hip Hop,kipindi Kile Zinaoneshwa ITV1
"Hadharani Twawaeleza,Madawa ya Kulevya,
Cheza Mbali na Kasheshe(Mbali na Kasheshe)
Cheza Mbali na Kasheshe(Mbali na Kasheshe)!"
 
Mi nautafuta ule unaimbwa

Hii ndio a...aaaa aaaa aaaaaa
ipo kama kikombeeee aaaa aaaa aaaa
Hii ndio ee .... eeee eeee eeee
ipo kama kaataaa eeeee eeee eee

Kaimba nani sjui....Sjui ni King Kiba yuleee.....Anayeujua tafadhali
 
Mwalimu wangu wa chekechea
 
Back
Top Bottom