sijui kama sasa hivi zipo sana,kutokana na teknolojia kuwa kubwa kama zimepoteaTafadhari kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
Tafadhari kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
Angalia hapa: https://goo.gl/D5McRuTafadhari kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
Iwapo utanunua kutokea UK, Nitapokea mzigo kwanza Berkshire, Then ndipo nitatuma kuja Tanzania.Tafadhali kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
kumbe ww ni supplier?Iwapo utanunua kutokea UK, Nitapokea mzigo kwanza Berkshire, Then ndipo nitatuma kuja Tanzania.
Link ya item huisika: Kids Learning Laptop Toy Boy Girl Educational Computer Skills Styled Game Play | eBay
View attachment 628545
Mkuu kwema??Iwapo utanunua kutokea UK, Nitapokea mzigo kwanza Berkshire, Then ndipo nitatuma kuja Tanzania.
Link ya item huisika: Kids Learning Laptop Toy Boy Girl Educational Computer Skills Styled Game Play | eBay
View attachment 628545
Chukua Fire 7 for kids iangalie hapa: https://goo.gl/5T8rqTNa Tablets za watoto za Wi-Fi na/au za Line zinaweza kupatikana kwa kiasi gani mpaka zafika Dar??
Niko tayari kusaidia mtu yeyote anayetaka kuagiza kitu nje bila faida ambazo wengine wanaongeza, ili mladi ulipe shipping cost mwenyewe from UK to Dar. Price ya shipping utalipa mwenyewe Dar. Naona watu wengine wanataka kutengeneza faida yakuumiza! Sasa mimi nawatumia bila faida. Kazi kwenu.Mkuu kwema??
Na Tablets za watoto za Wi-Fi na/au za Line zinaweza kupatikana kwa kiasi gani mpaka zafika Dar??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji23]Mimi sina dhiki au shida sana yakutaka vifaida uchwala.
Thanks,Niko tayari kusaidia mtu yeyote anayetaka kuagiza kitu nje bila faida ambazo wengine wanaongeza, ili mladi ulipe shipping cost mwenyewe from UK to Dar. Price ya shipping utalipa mwenyewe Dar. Naona watu wengine wanataka kutengeneza faida yakuumiza! Sasa mimi nawatumia bila faida. Kazi kwenu.
Poa Mkuu,Chukua Fire 7 for kids iangalie hapa: https://goo.gl/5T8rqT
Imetoka mwala huu.
View attachment 628811
Itakufikia kwa TZS 325,680
View attachment 628812
Mkuu! Mimi na access ya kununua chochote katika nchi yeyote! Nitakupa contact ya kwenda chukua mzigo wako ukifika bila malipo ya ziada. Wewe ni kwenda kubeba mzigo wako tu. Utakacho takiwa ni kulipa advance payment.Thanks,
So Wewe utasaidia kwenye Upande upi zaidi??
Nakwambia ukweli mjomba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji23]